Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau hata mashabiki wa simba ndio waliokimuita morison mwizi wa magari? Mukawa munaponda kuwa laiti angekuwa mchezaji wa maana asingeachwa kule south Africa? Je mwishoni mbona mulimsajili na mukawa munamsifia ?Hapa ndiyo utaona unafki wa mashabiki wa kibongo. Siku zote wanaikandia Simba kuwa na wachezaji wabovu na hawa kina Okrah wamekuwa wanatajwa ni wabovu, Phiri walikuwa na kigugumizi kumpa sifa zake.
Leo hii fununu tu wanakimbilia kuwapa maua yao yaliyoanza kunyauka.
Keywords (Maneno muhimu):Umesahau hata mashabiki wa simba ndio waliokimuita morison mwizi wa magari? Mukawa munaponda kuwa laiti angekuwa mchezaji wa maana asingeachwa kule south Africa? Je mwishoni mbona mulimsajili na mukawa munamsifia ?
Na Morrison[emoji1787][emoji1787]Yanga ni chuo cha kuwajenga wachezaji kutoka simba. Wakisajiliwa Yanga, watang'ara kama ilivyotokea kwa Amisi Tambwe.
Simba wasifanye kosa hili hawa ni baadhi ya wachezaji wachache sana wenye hadhi ya kubaki pale. Shida ya Yanga imekuwa kumtegemea zaidi Mayele kwenye ufungaji na wanakosa mtu mwingine mwenye quality kama hiyo, wakimpata mtu kama Phiri na nyongeza ya Okrah watakuwa hawashikiki mamaee.
Wanasimba tunapigwa pigo jingine, Yanga wapo mbioni kumchukua Phiri azibe nafasi ya Kisinda na Okra azibe nafasi ya Morrisson.
Wana Simba kutokana na Robertinho kutowakubali hao, mwakani tena maumivu.
Simba nao wapambane kumsajili Fei toto