Yanga wapokonywe medali ya under 20

Sheria ziko wazi hadi fifa wanasisitiza kwamba youth teams hakuna kuvaa jezi zenye nembo ya makampuni ya kamari.

Hawa jamaa michuano ya under 20 walivaaa jezi zenye nembo yq sportspesa
Ndio maana mwenyekiti wenu aliwaita mbumbumbu,sheria inaapply mwisho kwa U17,haiwahusu U20
 
Kama kanuni zinasema hivyo wachukuliwe hatua halafu wamechezesha mababu kuna moja ukiliangalia tu usoni lina miaka 35 halafu linajiita under 20 haya ndio yakipata maumivu inachukua miaka 3 kupona.
 
Sheria ziko wazi hadi fifa wanasisitiza kwamba youth teams hakuna kuvaa jezi zenye nembo ya makampuni ya kamari.

Hawa jamaa michuano ya under 20 walivaaa jezi zenye nembo yq sportspesa
Yanga mwaka huu wao ni wa pili tu.
Youth league ni wa pili nyuma ya mtibwa,
Ligi ya wanawake ni wa pili nyuma ya Simba,
VPL watakua wa pili nyuma ya Simba
ASFC watakua wa pili nyuma ya Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…