Yanga wasaini mkataba wa milioni 900 na Shirika la Bima la Taifa (NIC)

Yanga wasaini mkataba wa milioni 900 na Shirika la Bima la Taifa (NIC)

Na Simba wamepata Hilo shavu?
Tangu mwaka juzi kutoka kwa Emirate Aluminium

1696848977458.png
 

Attachments

  • 1696848828106.png
    1696848828106.png
    148.3 KB · Views: 2
Lazima wapate tu. Hizo taasisi haziwezi kamwe zikafanya kazi na upande mmoja.
Usikaririshwe hizo taasisi aziji tu Kama magenge ya wahuni, hapo idara ya masoko ya yanga inafanya kazi yake ipasavyo usidhani Kila Dili ni lazima na nyie muwepo inategemea kitengo chenu Cha masoko kimejipangaje kuwavutia wawekezaji
 
Back
Top Bottom