Yanga wasaini mkataba wa milioni 900 na Shirika la Bima la Taifa (NIC)

Lazima wapate tu. Hizo taasisi haziwezi kamwe zikafanya kazi na upande mmoja.
Usikaririshwe hizo taasisi aziji tu Kama magenge ya wahuni, hapo idara ya masoko ya yanga inafanya kazi yake ipasavyo usidhani Kila Dili ni lazima na nyie muwepo inategemea kitengo chenu Cha masoko kimejipangaje kuwavutia wawekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…