Yanga wasajili mchezaji kutoka Wolves ya UK?

Yanga wasajili mchezaji kutoka Wolves ya UK?

Hilo si group kama la mwaka juzi tu kaongezeka el mereikh tu hapo..ambao ni wa 31 simba wa 17 kuweni na heshima nyieeee
Tangu lini mkia ukawa na heshima, siku zote uko nyuma. mikia fc msilete majigambo yasiyokuwepo.
 
Kuna shangwe kubwa mtandaoni kutoka kwa mashabiki wa deportivo la utopolo baada ya picha kusambaa mtandaoni ya mchezaji aliyevalia jezi ya Wolves akisaini kandarasi na team hiyo ya jangwani inayokamata nafasi ya 69 kwa ubora barani Afrika baada ya kujikusanyia point 1(CAF 5 year ranking)

Team hiyo ilisema safari hii wanasajili kimyakimya na kupiga picha nusu wakikata sura ki profeshno zaidi.

Nyie endeleeni kasajili paka
 
Tayari......

Ninawasubiri NINYI MIKIA....

Mikia njooni FAINALI na YULE PAKA WENU MWEUSI.....
Screen Shot 2021-01-11 at 8.54.39 PM.png
 
Sawa.....

Halafu kuweni Waungwana...mmeshaanza kusemwa VIBAYA. CAF watawamulika kwa karibu tu.

Japo ni tuhuma ila haziachi afya njema.

1. Nisalimie yule refa wako wa Kitutsi aliyetoa ile penalty nje ya 18.
2. Nisalimie PAKA wenu mweusi...njooni naye kila mechi pale kwa Mkapa.
3. COVID 19 itakwisha tu. Sijui mtakuja na visingizio vipi hiyo miaka 10 usemayo!
Mwaka huu utopolo mtakufa kwa kihoro, simba we are on [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom