Kwani Kuna goli tumefunga refa akalikataa? Na hiyo tarehe 23 in Nini? Bongo kuna mashabiki mandazi ni hatari Wala haujui hata unachokishabikia we ni mpiga kelele tu.Al Hilal ni dhaifu ila pongezi zote ziende Kwa refa yeye pasina shaka ni Nyota wa mchezo.Tukutane tare 23.