Yanga wasipofuzu leo basi itawachukua zaidi ya misimu mitatu mbele

Al Hilal ni dhaifu ila pongezi zote ziende Kwa refa yeye pasina shaka ni Nyota wa mchezo.Tukutane tare 23.
Kwani Kuna goli tumefunga refa akalikataa? Na hiyo tarehe 23 in Nini? Bongo kuna mashabiki mandazi ni hatari Wala haujui hata unachokishabikia we ni mpiga kelele tu.
 
Chukueni hii kauli

Utopolo anaenda makundi ya shirikisho na atafanya vizuri
 
Chukueni hii kauli

Utopolo anaenda makundi ya shirikisho na atafanya vizuri
akipangwa na team iliyoifungwa goli 15+ na mamelod sawa.yanga awezi kuitoa mazembe,pyramid,cfaxien,club Tunis,rivers etc
 
Mpira umechezwa dk 70 tu, Jamaa Wana anguka kama wagonjwa, gari la wagonjwa linachukua zaidi ya dk2 Refa kama amekodiashwa, yaani mchezaji ataki kuinuka yeye ana mbembwleza.

Sa hapo unashangaa nini???Kama unashangaa figisu za waarabu utaweza kweli kukutana na kina berkane na kina pyramid ???
 
Kwahyo hiyo ndani ya hiyo miaka mitatu ijayo una uhakika yanga itakuwa inapangiwa wababe wa soka, siyo vibonde tena?
 
Fanya misimu 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…