Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mechi nne zilizopita za Kimataifa ambazo Yanga kacheza, kaishia kupoteza zote. Alianza kupoteza alipocheza na Zanaco, wote tunajua Kapumbu alivyowafanya.
Kisha wakapoteza mechi mbili za home & away dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria.
Na hatimaye leo tena wamekufa nyumbani dhidi ya Vipers ya Uganda, shukrani za pekee zimuendee refarii kwa kuonesha uzalendo vinginevyo leo kipigo kingekuwa kikubwa sana.
Yanga kazi yenu ni kuichafua Nchi kimataifa na kuipa Simba mzigo mkubwa wa kuisafisha nchi kwenye soka. Mtaacha lini?
Ngoja niende kwenye ukurasa wa CAF nikaangalie saves za Manula maana wamemposti jioni hii...