Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah waliibe kuanzia wapi
Lile birika la kuvutia shisha?Wabakie na kile cha mapinduzi tu
😂 Uchochezi huuLile birika la kuvutia shisha?
Polisi waongeze ulinzi ofisi za tff.
Utani wa ngumi huoLile birika la kuvutia shisha?
Nia tunayo na uwezo tunaoSimba tuanabeba klabu bingwa Africa kuwaenzi marais wastaafu wote wa tz waliotangulia mbele ya haki.
Washamuandaa kisila kukimbia nalo