Yanga watachukua Ligi Kuu kumuenzi hayati Magufuli

Yanga watachukua Ligi Kuu kumuenzi hayati Magufuli

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,876
Reaction score
2,190
Simba leo tumewapa salamu yanga mtasemaje mnataka kuchukua ligi kuu kumuenzi Rais wetu Jpm ina maana alikuwa rais wenu peke yenu?

This is Simba tunahamia ligi kuu sasa maana kule misri tutaenda kwa rafiki yetu SULUHU TU.
 
Simba tuanabeba klabu bingwa Africa kuwaenzi marais wastaafu wote wa tz waliotangulia mbele ya haki.
 
Back
Top Bottom