Yanga watafanya vizuri kimataifa kuliko Simba msimu ujao

Subiri mbumbumbu wa Rage waje..........
 
Huyo Hersi mipango ipo kichwani kwake tu kama wewe ulivyokuwa unaamini utakuwa rubani. Kwenye reality Hersi hana mpango wowote.... Kajiokotea wachezaji wa bure wote.
 
Da Joy unahangaika sana
 
Msimu uliomalizika tulisema Uto wamesajili wacheza ndombolo ya solo, lakini mwisho wa msimu sote tulipoteana.
 
Halafu uyo Uto anaweza asifike pale Mnyama anapoanzia.

Yanga haijafanya usajiri wa maana.
 
Tusubiri msimu mpya wa mashindano uanze.
 
mkuu tukae pamoja kibanda umiza mechi Simba na Yanga!! najua utahitaji soda ya baridi kupoza koo!!

Makolo mmejifariji sana msimu mzima na mkatoka kapa! Mkasema kombe baya hamlitaki!

Safari hii ni yale yale tu hadi mtazoea na kukubali Yanga ni bingwa wa kihistoria!

Hao kina Akpan mtawatukana tu! Muda utaongea!
 
Mosemane hapa,,Kanali mstaafu wa jeshi hapa alafu wanafungwa,,wametia aibu nchi,serikali,chama,JW,Africa na Dunia nzima.
 
Waingizeni hao wazee wenu mnaowathamini waje wasawazishe basi
 
N

Acha unafiki basi. Umeanza lini wewe kuwa Simba?
 
Simba wa mchongo
 
Naona wameshafuzu hatua ya makundi ya WhatsApp 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…