SAHIVI WANABEZA BAADAYE WA WATASEMA TUMEPANGIWA TIMU DHAIFUKuna uwezekano wengi wenu wakashangazwa na uzi huu kutokana na maneno haya kuwa yanga watafika final ya club bingwa mwaka huu
Lakini Sitaki kuwa mchambuzi saana
Ila nataka mjue
Swala ili lipo kiroho saana mda utaongea
Mwaka jana niliwahi kusema hivi hivi nikatukanwa nikaitwa pumbavu na mjinga wengine utopolo
Ila mwisho wa mwaka wote mliona kilicho tokea
Next season tena naona watu watakavyo kuwa wanasema kuwa timu zote kubwa akili zao zote walikuwa wameweka kwenye afrika super cup ndo wakakutana na timu mbovu mbovu au timu kubwa ambazo zimechoka
Wakithubutu tu Kufika nakuahidi nitakunya mubashara Miji mikubwa yote ya nchini Tanzania tena Mchana kweupe nikianzia na hapa nilipo Kwetu Pemba Kisiwani.
8. SIMON MSUVANaona yanga wameshidwa kuwabakisha wachezaji wake Muhimu mno ndani ya misimu miwili.
Morinho anasema usajili Bora ni kubakisha wachezaji Muhimu kikosini.
1. SAID NTIBAZONKINZA
2. FEISAL SALUM.
3. FISTON MAYELE.
4. JUMA SHABAN.
5. JOYCE LOMALISA.
6. YANIC BANGALA.
7. BENARD MORISON.
Wamepoteza Benchi lote la UFUNDI.
Hata makundi hawafiki.
CAFCL anayetoboa ni anauejua sio wabahatishaji, vibonde huwa wanabahatisha wanafika makundi na siku zote hao hao ndio huishia kuwa wa nne kwenye makundi yaoSAHIVI WANABEZA BAADAYE WA WATASEMA TUMEPANGIWA TIMU DHAIFU