Kuna uwezekano wengi wenu wakashangazwa na uzi huu kutokana na maneno haya kuwa yanga watafika final ya club bingwa mwaka huu
Lakini Sitaki kuwa mchambuzi saana
Ila nataka mjue
Swala ili lipo kiroho saana mda utaongea
Mwaka jana niliwahi kusema hivi hivi nikatukanwa nikaitwa pumbavu na mjinga wengine utopolo
Ila mwisho wa mwaka wote mliona kilicho tokea
Next season tena naona watu watakavyo kuwa wanasema kuwa timu zote kubwa akili zao zote walikuwa wameweka kwenye afrika super cup ndo wakakutana na timu mbovu mbovu au timu kubwa ambazo zimechoka