joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Huwezi kumkosoa mtu kwa mechi moja, kwenye mpira hivi vitu hutokea,Liverpool na ukubwa wake alipigwa saba na Aston Villa,still bado Van Dijk na Allison bado waliendelea kuwa bora.Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana
Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu
N ushauri tu nionavyo mm
Kama aibu iliyoletwa na makolo, uwa nasema akili zenu ni fupi unawezaje kumhukumu mchezaji kwa mechi moja? Kama beki mbovu nyie mmeifunga goli ngapi mlipokutana? Mmehama kumshangilia joji mpole sasa mnatafuta kichaka kingine cha kujipoza, safu mbovu ya ulinzi mpaka ligi inatamatika imeruhusu goli 8, nyie wenye safu bora ya kucheza kimataifa mmeruhusu goli ngapi ebu tuambie? Jaribu kuwa unaficha urofa wako mda mwingine usiwe kitukoKiufupi , hapo hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa labda ufanyike usajili wa Maana.
Tunaenda kushuhudia aibu nyingine kwa taifa muda si mrefu wa timu kupigwa nje ndani na kuondolea hatua ya awali.
Kwahio Costal union Leo wamekua kimataifa? msimu huu tumejipigia nje ndani mbona hamkusema hayo?Kiufupi , hapo hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa labda ufanyike usajili wa Maana.
Tunaenda kushuhudia aibu nyingine kwa taifa muda si mrefu wa timu kupigwa nje ndani na kuondolea hatua ya awali.