lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Yanga wako nje kwa dhamana katika mechi ya kimataifa, kombe la washindi. Hukumu itakua siku ya Mechi ya marudiano nchini Tunis.
Hapa Yanga watahukumiwa na kupigwa adhabu Kali.
Kitu pekee wanachotakiwa kufanya ni kuandaa pesa ya faini na kutangaza kutokwenda Tunis,ili kuepuka fedheha na usumbufu kwa "wananchi wao".😃😃😃😃
Watarudi nyumbani ili kuendelea kuwapokea timu za kigeni ambao ni timu wapinzani wa Simba,ndio furaha Yao ilipo.
Maneno ya wahenga yanasema, majina huumba,ukimpa mtoto jina Fulani hakika litaakisi tabia za jina hilo.
Kwa asili Yanga wanaitwa Dar Young Africans - maana yake ni,Vijana waafrika wa Dar es Salaam.
Hii inamaanisha kwamba miaka ya nyuma kulikua Kuna vijana wa jamii nyingi Mkoani Dar; waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi, Wasomali, Machotara na jamii nyingine.
Sasa Yanga ikaundwa kwa kuchukua vijana waafrika TU,wa mkoa wa Dar es salaam.😃😃😃😃mikoa mingine noo.😃😃😃😃.
Kwa hiyo nyinyi vijana wa mikoa mingine mnaoshangilia yanga mnajipendekeza TU, Yanga haiwahusu.
Hii ni kwa ajili ya vijana wa Dar pekee😃😃😃😃..
Shida ya jina Sasa.
Hili jina,"Dar Young Africans," linawaponza sana Yanga ktk mechi za kimataifa. Limewafanya uwezo wao,uwe mwiso ni Dar TU. Uwezo wao sio kimataifa. Uwezo wao ni mechi za ndani tu.
Sasa tuje kwa SIMBA, ha ha haa. Kwanza jina lenyewe TU, ni jina la "kimataifa", kwa sababu Simba yupo Kila bara. Kila mtu duniani anamfahamu mnyama simba. Hapa ndipo nguvu na uwezo wa club ya Simba ulipo. Jina.
Pili Simba ni mbabe huko porini,mwindaji,mfalme wa wanyama,ana nguvu,anaogopwa na Wanyama wote,ana malengo, hawindi ovyo na kwa uchache anatisha. Hapa ndipo uwezo wa club ya Simba ulipo. Jina linaumba na linaakisi. Tofauti na wapinzani wao. Iliyoundwa na vijana wa mkoa mmoja TU na yenye jina la mkoa mmoja TU.sio jina la kitaifa wala kimataifa.😃😃😃😃😃
Mnyama simba yupo kitaifa, ki bara, na ki Dunia. Nimechoka bana haaaaa! Lkn kwa kifupi uwezo wa club ya Simba kimataifa unatokana na jina lake. Vivyo hivyo uwezo wa Yanga kimataifa unatokana na jina lake.
Namalizia kwa kurudia Mkipata watoto msiwaite majina kama haya: Tabu, shida, mateso, Chausiku, maneno n.k mtawapa watoto wenu changamoto huko mbeleni.
😃😃😃😃😃Simba💪.
Nimejitungia TU hadithi hii ili kuwakera,utani lazima bana.

- Hawapindui meza wala,
- Hawatoboi.