Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unajuaje na uhakika gani kuwa Usain Bolt hajafika kwa wazee wa huko mtaani kwake? Haya mambo wewe yaache yaende kama yalivyo.karne hii eti wazee hivi OLIMPIC TUTAFIKA KWELI?HIVI LEO UNAMWAMBIA BOLT ILI USHINDE LAZIMA MZEE AWEPO NASEMA HIV AFRICA TUNATATIZO TRUMP HAKUKOSEA SISI BADO SANA
Nina kuhakikishia bila suluhu na Akili Mali Yanga mtajuta.Inasikitisha sana brand name kama Young Africa, bara zima la Africa inatambua timu hii, big name and goodwill lakini waTanzania kwa maelfu wanahojiwa na kuongea upuuzi mwingi mara akilimali, mara manji, nimeamini Tanzania kuna wapumbavu wengi sana na wanastahili vifungo cha maisha. Nikiangalia TV na kusikiliza radio mijitu yote inamlilia manji, hvi kweli club kubwa kama yanga inahitaji upuuzi huo??? Leo hii kila mwanachama wa yanga Tanzania akanunua hisa moja kwa Tsh 500/=, bado mtamnyenyekea mdosi manji????? Watanzania acheni ujinga nyinyi.
Yan kaz kweli kweli..karne hii eti wazee hivi OLIMPIC TUTAFIKA KWELI?HIVI LEO UNAMWAMBIA BOLT ILI USHINDE LAZIMA MZEE AWEPO NASEMA HIV AFRICA TUNATATIZO TRUMP HAKUKOSEA SISI BADO SANA
Safi sana....idea yako kwa kuifikiria inaonekana rahisi sana!, ila ipeleke kwenye implementation ndio utaona ugumu wake, siku zote kinachorudisha nyuma hivi vilabu vikubwa ni Uongozi mbovu,viongozi hawana dhamira za dhati kuvisogeza mbele hivi vilabu, zaidi ya kuvigeuza shamba la bibi!
.....patatakiwa pawepo na namna ya kusimamia mapato yatakayopatikana kutokana na mauzo ya hizo hisa,na adhabu kali itolewe kwa kiongozi atakayethibitika kuhujumu mapato hayo, kwa namna yoyote,tukiweza kusimamia hili, hizi timu zitakuwa unstoppable Africa!
...kwasababu sisi wenyewe tumeshindwa kulisimamia hilo,ndio sababu hawa wafanyabiashara wameamua kuja kuwekeza kwenye hizi timu, kwa kuiona fursa iliyopo,binafsi wala siwalaumu,ni haki yao, sababu uwezo wanao na opportunities km hizi ndio kitu mfanyabiashara anakitazama siku zote.
....mpaka tutakapo kuwa tayari ndio tuvirudishe hivi vilabu mikononi mwa wanachama,ni muhimu hawa watu wapewe hizi timu kwa mkataba,km ni miaka mitatu au minne wawe wana renew,siku akili za wanachama zitakapoamka, ndio tuvirudishe mikononi mwetu, kwa kufanya niliyoandika hapo juu.
Mimi mshabiki wa Simba lkn huyu Mzee tunamuheshimu sana kuh soka haswa pale mtaani Ndovu...![]()
kuzarau wazee noma kama hawataomba msamahaa na daraja hata washusha
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hii rangi hii[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]![]()
kuzarau wazee noma kama hawataomba msamahaa na daraja hata washusha
[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji15] [emoji15] [emoji15]ndio nini sasa hii[emoji43] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji27]
Hahaha Yanga wanatakiwa kujua huyu mzee hajaribiwi!Huyo ndo anajua tunguli zote kizee nuksi hichi Yanga hawamwezi huyu mzee,mana ana mizizi adimu..ukisikia Yanga asili ndo huyu anatembea juu ya moto lakini miguu haionyeshi dalili za kuungua
mbona tulifungwa mfululizo na simba huku yy akiwepo?mpira haupo hivyo nduguHuyo ndo anajua tunguli zote kizee nuksi hichi Yanga hawamwezi huyu mzee,mana ana mizizi adimu..ukisikia Yanga asili ndo huyu anatembea juu ya moto lakini miguu haionyeshi dalili za kuungua