Yanga watalazimika kumpigia magoti mzee Akilimali? Yanga wanaweza bila mzee Akilimali?

karne hii eti wazee hivi OLIMPIC TUTAFIKA KWELI?HIVI LEO UNAMWAMBIA BOLT ILI USHINDE LAZIMA MZEE AWEPO NASEMA HIV AFRICA TUNATATIZO TRUMP HAKUKOSEA SISI BADO SANA
Wewe unajuaje na uhakika gani kuwa Usain Bolt hajafika kwa wazee wa huko mtaani kwake? Haya mambo wewe yaache yaende kama yalivyo.
 
Nina kuhakikishia bila suluhu na Akili Mali Yanga mtajuta.

Mzee Akilimali hajaribiwi...
 
Huyo ndo anajua tunguli zote kizee nuksi hichi Yanga hawamwezi huyu mzee,mana ana mizizi adimu..ukisikia Yanga asili ndo huyu anatembea juu ya moto lakini miguu haionyeshi dalili za kuungua
 
Safi sana
 
Hivi ikitokea huyu mzee Mungu akamchukua! Hii mada itakuwa na mashiko kweli....
 
kuzarau wazee noma kama hawataomba msamahaa na daraja hata washusha
Mimi mshabiki wa Simba lkn huyu Mzee tunamuheshimu sana kuh soka haswa pale mtaani Ndovu...
Mzee Akili Mali ndio alimuingiza Manji na kumpigia kampeni kuwa Mwenyekiti...
Hizo kelele zooote wanazomfanyia watalia wenyewe...
 
kuzarau wazee noma kama hawataomba msamahaa na daraja hata washusha
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hii rangi hii[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Hakuna uhusiano kati ya yanga kupoteza game ya jana na mzee akilimali kusimamishwa,ule ni uzembe wa wachezaji kudharau mechi ya jana
 
Huyo ndo anajua tunguli zote kizee nuksi hichi Yanga hawamwezi huyu mzee,mana ana mizizi adimu..ukisikia Yanga asili ndo huyu anatembea juu ya moto lakini miguu haionyeshi dalili za kuungua
Hahaha Yanga wanatakiwa kujua huyu mzee hajaribiwi!
 
Tuangalie tatizo jingine hasa la kiufundi pamoja na mbinu mbadala uwanjani haya mambo ya Manji au Mzee Akili nyingi hayana nafasi,kiwango alichopiga yanga jana sio kibaya ila alizidiwa mbinu kimpira na mpinzani wake ,Yanga kipindi cha pili walichoka hawakuwa na nidhamu ya mchezo walishamdharau Azam hilo ndio kosa walilolifanya Yanga.
 
Huyo ndo anajua tunguli zote kizee nuksi hichi Yanga hawamwezi huyu mzee,mana ana mizizi adimu..ukisikia Yanga asili ndo huyu anatembea juu ya moto lakini miguu haionyeshi dalili za kuungua
mbona tulifungwa mfululizo na simba huku yy akiwepo?mpira haupo hivyo ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…