Yanga watashinda kwa penalty na kuelekea mbele

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Najuaa itawaumizaa kidogo wanna Yanga na kuwafurhisha

Timu yetuu itapata wakati.mgumu sana na kama Ht watatoka drw yà 0-0

Basii tujiandaee kisaikolojia na ushindi via penalty
 
Naonaa redcard moja mpaka SASA sijajua upandegani

Molinga atafunga
...Kamaa wataendaa penalty akipiga Morrison mjiandae kisaikolojia kupoteza ingawa MWISHO watapitaa Yangaa
 
Gwambina nawapenda hamjawahi kuniangusha kama jina lenu lilivo kwenu kila siku burudani
 
Hawautaki uzi wao, naona hausogei kabisa
 
Najuaa itawaumizaa kidogo wanna Yanga na kuwafurhisha

Timu yetuu itapata wakati.mgumu sana na kama Ht watatoka drw yà 0-0

Basii tujiandaee kisaikolojia na ushindi via penalty
Kwa ht hii 1-0 wanashinda yanga ft
Wangekosea MASHARRTI WALIKUWA wanaliwa
 
Penalti zinaendelea ......................................................................................................... ........................................zimeisha sasa and Gwambina wameshinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori za mbumbumbu wakiwa wanakunywa pombe za kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…