Yanga wanacheza na Simba kule kigoma ili kutafuta bingwa pia atayewakilisha nchi kwa mashindano ya CAF upande wa shirikisho
Kwa hali iliyopo sasa simba ni bingwa kwa ligi na yeye atakuwa mwakilishi klabu bingwa.
Je, Yanga ashinde asishinde kule Kigoma atakuwa ni mwakilishi wa shirikisho CAF? Au kanuni inasemaje
Ila yanga mna bahati tulitaka twende wote klabu bingwa mkaonje joto la jua.