Yanga watashiriki kimataifa shirikisho si klabu bingwa au kanuni inasemaje

Naomba nipe ufafanuzi endapo

1) Yanga akashindwa kubeba FA na pia kashindwa kushika nafasi ya pili kwenye ligi je atashiriki shirikisho CAF kwa vile kashika nafasi ya tatu kwenye ligi ama kwavile kashika nafasi ya pili kwenye FA?

2) je ikiwa Yanga ndio amebeba kombe la FA na pia imeshika nafasi ya pili kwenye ligi kuu ni wazi ataenda klabu bingwa. Je nafasi ya timu mbili za kwenda shirikisho zitachukuliwa kwa kutumie kigezo kipi?
Kwa mujibu wa kanuni mpya ya TFF iliyofanyiwa marekebisho mwaka jana iko hivi:

1. Yanga akishika nafasi ya pili Vpl basi ataenda klabu bingwa, ila endapo atashika nafasi ya Tatu au nne basi ataenda Shirikisho

2. Bingwa wa FA atashiriki shirikisho, ila anaeshika nafasi ya pili FA HAPATI UWAKILISHI WOWOTE (kwa mujibu wa kanuni mpya) kimataifa.
Hvyo kama fainali ya FA ingekuwa kati ya Simba vs Namungo basi Namungo asingepata ticket hio ya uwakilishi
 
Azam na Biashara
 
Mkuu nataka kujua kama Yanga akishinda Azam Federation na huku VPL akawa wa pili ataenda kushiriki mashindano yapi kimataifa?

Kama Yanga hatashinda Azam Federation,Simba akashinda na VPL Simba akashinda ,nani ataiwakilisha Tanzania shirikisho akitokea mashindano ya Azam federation ? Naomba ufafanuzi hapa ili nielewe
 
Mbona kajibu mkuu. Jibu hilo hapo
 
Mkuu nataka kujua kama Yanga akishinda Azam Federation na huku VPL akawa wa pili ataenda kushiriki mashindano yapi kimataifa?

Kama Yanga hatashinda Azam Federation,Simba akashinda na VPL Simba akashinda ,nani ataiwakilisha Tanzania shirikisho akitokea mashindano ya Azam federation ? Naomba ufafanuzi hapa ili nielewe
Iko hivi bwamdogo.

Kwanza TFF ndio wanaoandaa kanuni za kushiriki though zinakuwa approved na CAF. Zifuatazo ni hoja za kuzingatia
1. TFF inaipa uzito ligi kuu ya Tanzania (bara) kuliko mashindano mengine yoyote yanayoandaliwa na TFF. Hivyo TFF itatoa nafasi kwa timu za Tanzania bara kushiriki mashindano makubwa ya Afrika (ligi ya mabingwa Afrika) kutoka timu zitakazofanya vizuri kwenye ligi yake. Hapa angalizo ni kwamba nafasi za kushiriki ligi ya mabingwa Afrika ni zile zinazotolewa na CAF kulingana na vigezo vyao wao CAF.

Mathalani, kwa sasa CAF wametoa nafasi 2 kwa Tz kushiriki ligi ya mabingwa afrika, na nafasi 2 kushiriki kombe la shirikisho. Na kwa mwelekeo timu za Simba na Yanga ndio zinaelekea kupata nafasi ya kwanza na ya pili. So TFF kwa kuwa wanaipa uzito ligi kuu basi mshindi wa kwanza na wa pili watashiriki moja kwa moja bila kuangalia ushindi au nafasi ya mashindano mengine ya TFF. Hii haijalishi kama yanga au simba mmoja wao atabeba kombe la FA Tz. Na timu mbili zinazofuata kwenye ligi basi zitashiriki mashindano ya shirikisho Africa.

2. Kwenye kushiriki mashindano mengine ya CAF ngazi ya vilabu les say Shirikisho, TFF imeyapa uzito mashindano ya kombe la FA (Kwa sasa Azam Federation Cup). Kwa maana kwamba endapo mshindi wa kombe hilo hatakuwa kati ya washindi wanne wa ligi basi ataingia moja kwa moja kushiriki mashindinao ya shirikisho ya CAF. Ndio kusema mathalan kwa sasa Dodoma jiji wangeshinda FA ya Tanzania na hawapo nafasi nne za juu kwenye ligi ligi, basi mshindi wa nafasi ya nne angepigwa chini - les say bisahara utd na nafasi yake ya ushiriki kuchukuliwa na na Dodoma jiji.

Usipoelewa hapo tena wewe ni tatizo
 
Mkuu nataka kujua kama Yanga akishinda Azam Federation na huku VPL akawa wa pili ataenda kushiriki mashindano yapi kimataifa?

Kama Yanga hatashinda Azam Federation,Simba akashinda na VPL Simba akashinda ,nani ataiwakilisha Tanzania shirikisho akitokea mashindano ya Azam federation ? Naomba ufafanuzi hapa ili nielewe

Yanga akishinda FA na ikiwa atashika nafasi ya pili VPL basi ataenda klabu bingwa huku walioshika nafasi ya tatu na nne ie Azam na Biashara wataenda shirikisho

Na ikiwa Simba atakuwa bingwa Vpl na FA Cup, basi anaeshika nafasi ya pili Vpl ataenda klabu bingwa huku walioshika nafasi ya Tatu na nne wakienda shirikisho
 
Back
Top Bottom