Yanga watashiriki kimataifa shirikisho si klabu bingwa au kanuni inasemaje

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,810
Yanga wanacheza na Simba kule kigoma ili kutafuta bingwa pia atayewakilisha nchi kwa mashindano ya CAF upande wa shirikisho

Kwa hali iliyopo sasa simba ni bingwa kwa ligi na yeye atakuwa mwakilishi klabu bingwa.

Je, Yanga ashinde asishinde kule Kigoma atakuwa ni mwakilishi wa shirikisho CAF? Au kanuni inasemaje

Ila yanga mna bahati tulitaka twende wote klabu bingwa mkaonje joto la jua.
 
Kwahiyo wamepewa nafasi kwa ajili ni timu ya chama na serikali au?
 
Kuna mashabiki wa hizi timu mbili mnatia aibu.
 
Yanga wataenda klabu bongwa sababu nibwashindi wa pili mashindano yote...
Naomba nipe ufafanuzi endapo

1) Yanga akashindwa kubeba FA na pia kashindwa kushika nafasi ya pili kwenye ligi je atashiriki shirikisho CAF kwa vile kashika nafasi ya tatu kwenye ligi ama kwavile kashika nafasi ya pili kwenye FA?

2) je ikiwa Yanga ndio amebeba kombe la FA na pia imeshika nafasi ya pili kwenye ligi kuu ni wazi ataenda klabu bingwa. Je nafasi ya timu mbili za kwenda shirikisho zitachukuliwa kwa kutumie kigezo kipi?
 
1. Yanga SC ataenda klabu bingwa kwa kigezo cha nafasi ya pili atakayochukua na sio vinginevyo.
 
Ataenda Azam & Biashara United kwa sababu ndizo zinazoshika nafasi ya 3 na 4 mtawalia! Pia timu hizo hizo 2 zimefika ½ fainali ya kombe la shirikisho la Azam
 
Naomba nipe ufafanuzi endapo

1) Yanga akashindwa kubeba FA na pia kashindwa kushika nafasi ya pili kwenye ligi je atashiriki shirikisho CAF kwa vile kashika nafasi ya tatu kwenye ligi ama kwavile kashika nafasi ya pili kwenye FA...
Uko sahihi, yanga atashiriki shirikisho kama atakua wa tati ktk ligi. Bingwa wa azam fa ataenda kombe lake kama inavyotakiwa. Mshindi wa pilibligi kuu ataongozana na simba klabu bingwa.
 
Na nani anaenda shirikisho?
Bingwa wa azam cup ataenda shirikisho, kama simba itabeba ligi na azam cup, mshindi wa pili wa azam cup ataenda shirikisho, endapo tu mshindi huyo hatokua wa pili ktk ligi kuu, mshindi wa pili wa ligi ataenda klabu bingwa...mshindi wa tatu wa ligi kuu ataenda shirikisho.

Kama ingekua ni timu nyingine imebeba azam basi hiyo timu na mshindi wake wa pili wangeenda shirikisho...
 
1. Yanga SC ataenda klabu bingwa kwa kigezo cha nafasi ya pili atakayochukua na sio vinginevyo.
Kwa kifupi ligi kuu inatoa wa kwenda klabu bingwa 2 na azam itatoa 2 wa kwenda shirikisho...vinginevyo kuwe na muongoliano kuwa kuna timu imebeba makombe yote...mshiriki wa shirikisho atakua mshindi wa pili wa azam cup.

Kwa kitupi zaidi mpaka sasa kuna uwezekano mkubwa simba na yanga klabu bingwa na azam na mshindi wa nne ktk ligi kwenda shirikisho
 
Nakumbuka kipindi kile ilivyotokea case kama hiyo ya kuingiza timu nne, walienda Simba kama kinara wa ligi kuu
Yanga kwavile ameshika nafasi ya pili kwenye ligi kuu
Azam mshindi wa FA
KMC kwavile ameshika nafasi ya nne
Lipuli ambaye mshindi wa pili kwenye FA kanyimwa nafasi
 
Mbwembwe za Wana Simba ni hatari,Azam kawabana mapumbu huko songea haswa,arafu kwa mpira ule wanaitaka yanga,mpira hauelezek hujui yanga watakuja vipi na refa siku hiyo atembee na kisu mfukoni.
 
Ndio hivyo
 
Mbwembwe za Wana Simba ni hatari,Azam kawabana mapumbu huko songea haswa,arafu kwa mpira ule wanaitaka yanga,mpira hauelezek hujui yanga watakuja vipi na refa siku hiyo atembee na kisu mfukoni.
Mkuu fafanua
 
Umepatwa na mhaho hakutakuwa na magoli ya mwamedi kuhonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…