tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Kwa mujibu wa kanuni mpya ya TFF iliyofanyiwa marekebisho mwaka jana iko hivi:Naomba nipe ufafanuzi endapo
1) Yanga akashindwa kubeba FA na pia kashindwa kushika nafasi ya pili kwenye ligi je atashiriki shirikisho CAF kwa vile kashika nafasi ya tatu kwenye ligi ama kwavile kashika nafasi ya pili kwenye FA?
2) je ikiwa Yanga ndio amebeba kombe la FA na pia imeshika nafasi ya pili kwenye ligi kuu ni wazi ataenda klabu bingwa. Je nafasi ya timu mbili za kwenda shirikisho zitachukuliwa kwa kutumie kigezo kipi?
1. Yanga akishika nafasi ya pili Vpl basi ataenda klabu bingwa, ila endapo atashika nafasi ya Tatu au nne basi ataenda Shirikisho
2. Bingwa wa FA atashiriki shirikisho, ila anaeshika nafasi ya pili FA HAPATI UWAKILISHI WOWOTE (kwa mujibu wa kanuni mpya) kimataifa.
Hvyo kama fainali ya FA ingekuwa kati ya Simba vs Namungo basi Namungo asingepata ticket hio ya uwakilishi