Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Unadhani Yanga wanaongelea mpira wanaposema sasa hivi wanapiga kichwani? Bado hamjasanuka jinsi mipira hii inavyotumika kisiasa.Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa code, aliposema safari hii wanatumia Nyundo alikuwa na tafsiri nyingi.
Yanga hawangaiki tena kucheza na Simba sasa hivi, never.Yaani ni hivi, ni kweli sisi tumesajili vizuri sana msimu huu, tunao wachezaji wazuri sana ambao wana uwezo wa kutupa hata ubingwa wa Afrika, lakini uwezo wa kuifunga Yanga haupo na hautakuwepo.Ubingwa wa hapa ndani hautakuwepo tena msimu huu.
Ninazo sababu nyingi sana, nyingine nimewahi kuzieleza lakini hadi leo hazijafanyiwa kazi na bado zipo.
Dalili ya mvua mawingu.Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu.
Mjuaji ila kichwani hamna kitu ulisema simba wanazindua jezi za pre season ndio zitakua za msimu mwisho wake wamezindua zilizovujaUnadhani Yanga wanaongelea mpira wanaposema sasa hivi wanapiga kichwani?
Bado hamjasanuka jinsi mipira hii inavyotumika kisiasa.
Mambo ni mawili tu Yanga atamfunga Simba au Simba atafungwa na Yanga.Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa code, aliposema safari hii wanatumia Nyundo alikuwa na tafsiri nyingi.
Yanga hawangaiki tena kucheza na Simba sasa hivi, never.Yaani ni hivi, ni kweli sisi tumesajili vizuri sana msimu huu, tunao wachezaji wazuri sana ambao wana uwezo wa kutupa hata ubingwa wa Afrika, lakini uwezo wa kuifunga Yanga haupo na hautakuwepo.Ubingwa wa hapa ndani hautakuwepo tena msimu huu.
Ninazo sababu nyingi sana, nyingine nimewahi kuzieleza lakini hadi leo hazijafanyiwa kazi na bado zipo.
Dalili ya mvua mawingu.Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu.
Wewe si mshabiki wa Simba? Mbona unakosa imaniMambo ni mawili tu Yanga atamfunga Simba au Simba atafungwa na Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha mwenyewe muoga muoga tu amecheza mechi tatu na Yanga zote kafungwa hajafunga hata goli moja.Wewe si mshabiki wa Simba? Mbona unakosa imani
Huo uwezekano ni mdogo sana tukifugwa chache ni tatuNi muda wa Simba kufuta uteja