Yanga watawafunga mazembe juma pili

Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Mkuu kwani wewe ni msichana mdogo? Maana unavyoandika ni kama dadangu mdogo, pia hupenda kuandika kimadeko na kizembe kizimbe kama wewe tu
1 ivo=hivyo
2 uo=huo
3 ata=hata
Ama ndo wewe dada asha? Ila sio yule ma U T I
 
Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Siasa inaweza kuwasaidia Yanga kupata ushindi siku ya J2.
 
Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Hamjakoma tu tabiri zenu?
 
Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
😄 😄 😄 kule hakuna marefa wenu mliowazoea huku
 
Kwenye maisha inatakiwa kuamini haijalishi unaamini Nini hata upumbavu Kama huu ni Imani pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…