Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani wewe ni msichana mdogo? Maana unavyoandika ni kama dadangu mdogo, pia hupenda kuandika kimadeko na kizembe kizimbe kama wewe tuYanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Wenye akili huko ni wa 2Mkuu kwani wewe ni msichana mdogo? Maana unavyoandika ni kama dadangu mdogo, pia hupenda kuandika kimadeko na kizembe kizimbe kama wewe tu
1 ivo=hivyo
2 uo=huo
3 ata=hata
Ama ndo wewe dada asha? Ila sio yule ma U T I
Hakika mkuu.Wenye akili huko ni wa 2
Siasa inaweza kuwasaidia Yanga kupata ushindi siku ya J2.Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
ujawai kutabiri ikatokea,sikuamini kabisa tabiri zako huwa mbovu sana.Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Hamjakoma tu tabiri zenu?Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
amna kitu labda uzi wako wa Moise Katumbi kuwa Rais wa Congo uwenda ndo ukatiki ili tabiri zingine unafeli.Wewe angalia uzi zangu ambazo nime tabiri alafu ikakosea kutokea kweli
😄 😄 😄 kule hakuna marefa wenu mliowazoea hukuYanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Bora karudi kivinginekwisha umerudi Tena🤣🤣🤣👉🏿