Yanga watawafunga mazembe juma pili

Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Hivi huwa mnakosa cha kuandika hapa jukwaani au?
 
Mmewavuruga sana wenzenu, mechi ya Yanga itakuwa na wahudhuriaji wachache sana. Jiandaeni kumwaga ticket za bure mitaani siku ya Jumapili.
 
Wananchi tunataka ushindi. Tukifungwa, au kutoa sare nyumbani; tutajiweka katika mazingira magumu ya kusonga hatua ya robo fainali.
Game ya kesho ndo imebeba hatma yetu. Sioni dalili za ushindi J2. Hii wikiend ni ngumu kwa timu zetu zote.
 
Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Juma pili ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…