Hivi huwa mnakosa cha kuandika hapa jukwaani au?Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwa mnakosa cha kuandika hapa jukwaani au?Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
AiseeYanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Kuwafunga kamba au guta?Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Kivipi mkuuSiasa inaweza kuwasaidia Yanga kupata ushindi siku ya J2.
Game ya kesho ndo imebeba hatma yetu. Sioni dalili za ushindi J2. Hii wikiend ni ngumu kwa timu zetu zote.Wananchi tunataka ushindi. Tukifungwa, au kutoa sare nyumbani; tutajiweka katika mazingira magumu ya kusonga hatua ya robo fainali.
Nimewaza tu hivyo kwa hesabu fulani nilizofanya, inawezekana siko sahihiKivipi mkuu
Juma pili ndio nini?Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja
La penalti ya Shaban djuma
Na maliza ivo tukutane juma pili
Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
Mganga Manyota wa Lyamba lya Mfipa.Tawireeee