Yanga watawatoa Al Hilal

Yanga watawatoa Al Hilal

Huu ni ukweli mtupu Yanga watawatowa Al Hilal na inawezekana kabisa wakawatowa kama jinsi al hilal walivyo watoa st - George kwa faida ya goli la ugenini. Mechi ya al hilal na Yanga apa Dar itakuwa ngumu saana
Na kuna uwezekano kabisa wakaenda 0-0 na Yanga akawatawa kule kwao kwa 1-1

Sababu ni hizi

Al hilal wakija Dar kwenye round ya kwanza watecheza mpira wa kujilinda saana kitu ambacho kitasumbuwa yanga kupata goli

Round ya pili kule soudan al hilal watecheza mpira wa kushambulia zaidi kutafuta matokeo uku yanga nao watacheza mpira wa kushambuwa kutafuta matokeo.
Labda Kama huko Sudani mtaweza kuruka ukuta Kama kawa
 
Back
Top Bottom