Yanga wataweka Rekodi mwaka huu ya kuingia Nusu Fainali ya Klabu Bingwa

Yanga wataweka Rekodi mwaka huu ya kuingia Nusu Fainali ya Klabu Bingwa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kwa takribani miaka 5 ya ubora wa simba wamekuwa wakipambana kufika Nusu Fainali au Fainali ya Mashindano ya CAF (CAF Champions League and Caf Federetion) lakini maskini ya Mungu milango bado migumu kwao.

Ila nawaona Yanga wakifanikiwa kuweka rekodi ambayo Simba wameshindwa kuweka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa mwaka ujao

Time will tell us.
 
Kwa takribani miaka 5 ya ubora wa simba wamekuwa wakipambana kufika nusu final au final ya mashindano ya Caf ( Caf champions league and Caf federetion) lakini maskini ya Mungu Milango bado migumu kwao

Ila nawaona yanga wakifanikiwa kuweka rekodi ambayo simba wameshindwa kuweka kwenye mashindano ya club bingwa mwaka huu
Time will tell us
Inshaallah na iwe hivyo kama ilivyonenwa
 
Watu wenye malengo ya kufika makundi tu wawe na uwezo wa kufika nusu fainali klabu bingwa kakuambia nanii???

Wenyewe tu hawajiamini ndio maana wanajipa malengo madogo ili wapate visingizio.

Mwisho wa Yanga kufanya vizuri ni kwa Elmerrekh tu,tunza hii comment
 
Watu wenye malengo ya kufika makundi tu wawe na uwezo wa kufika nusu fainali klabu bingwa kakuambia nanii???

Wenyewe tu hawajiamini ndio maana wanajipa malengo madogo ili wapate visingizio.

Mwisho wa Yanga kufanya vizuri ni kwa Elmerrekh tu,tunza hii comment

Ndugu yangu Mimi ni mfatiliaji mzuri wa mpira
Nataka ni kuakikishie kuwa ikiwa yanga watakwenda na mpira wao huu wa kushambulia zaidi sio ugenini wala nyumbani
Kuna timu kubwa watapigwa nje ndani
 
Wakati Yanga wanacheza hivyo hizo "timu kubwa" zitakuwa zinawaangalia tu??

Acha ni kupe Siri kwa yanga hii bora ucheze mpira wa kupaki kuliko kushambulia
Maana wa kishika mpira hawana cha namba 9 au namba kumi
Yaani kuanzia namba 11, namba 7 namba 8 namba 9 na namba 10 wote wanacheza Kama namba 9 wakiwa langoni kwako
Ili kuweza watu ambao wanacheza mpira wa namna hii ni bora kupaki tu sasa timu nyingi kubwa wana mtindo wa kudharau timu ndogo
 
Yes, Yanga wana ,makusudi sana, mwaka huu unaweza shtukia wanafanya sifa kombe linakuja hapa.

Yanga tayari washajua Siri ya mafanikio ni kujiamini tu
Ndo maana uliona mwaka jana walikuwa hawana cha ugenini wala nyumbani
Walicheza ugenini Kama nyumbani tu
Wao waliamini kujiamini ndo Siri ya mafanikio
Na mwaka huu tena wakienda na mpira wao huu wa kasi ugenini Kama nyumbani nataka ni kuakikishie kuna timu kubwa hapa afrika zitapigwa nje ndani
 
Back
Top Bottom