steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Mjomba jua tu hii ni klabu bingwa,na ukipigwa huku hakuna kwenďa shirikisho,kila timu inalijua hilo na imejiandaa vyema,sio preliminaries hizo mlizoshinda goli nyingi nyingi,vitu sio rahisi hivyoNdugu yangu Mimi ni mfatiliaji mzuri wa mpira
Nataka ni kuakikishie kuwa ikiwa yanga watakwenda na mpira wao huu wa kushambulia zaidi sio ugenini wala nyumbani
Kuna timu kubwa watapigwa nje