Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda ni Mwl mzur sana....msimu uliopita ilikuwa hivihivi hatimaye tukacheza fainali mkuu huo ni muono wake japo wewe umetikia shaka akili zake.
Kisichowezekana kwako siyo kanuni kutowezekana kwa wengine.
wewe utakuwa ndiye yule niliyemshauri aachane na mpira, msimu uliopita yanga hakuwa na malengo CAFCC badala yake aliweka malengo ya group stage CAFCL ambako alitolewa raundi ya kwanzaHata kwenye shirikisho alisema watafika makundi ila cha ajabu wakafika mpaka fainali.
Sishauriwagi na vichaa.wewe utakuwa ndiye yule niliyemshauri aachane na mpira, msimu uliopita yanga hakuwa na malengo CAFCC badala yake aliweka malengo ya group stage CAFCL ambako alitolewa raundi ya kwanza
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Zitaje hizo team [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu yangu Mimi ni mfatiliaji mzuri wa mpira
Nataka ni kuakikishie kuwa ikiwa yanga watakwenda na mpira wao huu wa kushambulia zaidi sio ugenini wala nyumbani
Kuna timu kubwa watapigwa nje ndani
Wydad hii iliyomtoa Mamelod sundowns?? Wee unachekesha aseeehKwanza katika timu dhaifu ambazo Mimi naamini wahawana mpira wa kutisha basi ni wydad
Simba wangewatoa wale but walishindwa kwasababu walikosa Imani wao waliamini ni vigumu kupambana na wydad kwao ndo maana walitoka na 0 shoot on taget Yaani walicheza mpira wa kupaki zaidi wakashindwa kushambulia
Anaweza kuingia makundi na asivukee.Nionavyo, kikwazo cha yanga kitakua kuingia makundi, but akifanikiwa story inaweza kua nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fainali ipii?sio nusu fainali mwaka huu mtashuhudia fainali pale lupaso andaeni tena mvua ya kutosha
Kwenye mpira hakuna kujisahau, kwann wydad wasijisahau? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamelodi ni timu nzuri saana na kubwa ila kuna mda mwingine wanajisau saana
Kwan mwaka jana iliyotolewa na Al hilal ilikua ya Manji?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kwa yanga hii ya GSM
Kwenye mpira hakuna kujisahau, kwann wydad wasijisahau? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan Yanga ikikutana na hizi team ni kipigooo.
Al ahly
Mamelod sundowns
Wydad
Experance.
Simba
Kwan mwaka jana iliyotolewa na Al hilal ilikua ya Manji?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Petro De luanda iko level 1 na yanga? Simba siwezi watoa, couz ni quarter final kwa 3 yrs, unadhan ni wadogo?Kwa hiyo unataka kuniambia Petro ya angola ni timu kubwa kuliko mamelodi ? Jibu ni hapana lakini waliwatoa mamelodi mwaka jana
Toa simba hapo sio timu kubwa
Hizo timu ulizo weka hapo juu kuna ambao wataliwa na yanga nje ndani mda utaongea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Al hilal wanachekea chooni.Mwaka jana yanga walikuwa bado wanajitafuta
Kwasasa wamejipata
Kwa hiyo tegemea moto juu ya moto sio ugenini wala nyumbani hakuna kupaki na mwendo wa kushambulia mwanzo mwisho
Sasa Petro De luanda iko level 1 na yanga? Simba siwezi watoa, couz ni quarter final kwa 3 yrs, unadhan ni wadogo?
Kwa team nilizotaja huna wa kumfunga, hapo kwa mkapa labda uambulie sare. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Al hilal wanachekea chooni.
Wee huku sio shirikisho, utasema mbna,
Sawa refa HichilemaNusu fainali sahau na kwa mpira huu wa matamasha wanaocheza wakiucheza Champions League amini nakwambia watapasuliwa vibaya pengine hata robo wasiifikie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli muda upoo na ntakuuliza, na huwa sisahau, kuna mwenzako had akawa anaomba modes waniban jumla JF.Last month nilipost Uzi hapa kuwa mashabiki wa simba mwaka huu mtafuta cha kusingizia
Mimi nafatlia mpira vizuri saana kwenye hizo timu hakuna wakumkalisha yanga ya sasa mda utaongea