Weekend hii tumeshuhudia mitanange minne ya robo fainali mzunguko wa kwanza wa kilabu bigwa Africa,Simba ndo timu pekee iliyoruhuzu goli, na goli hilo ndo limekiwa la ushindi Kwa Alahyl na Alahyl katanguliza mguu mmoja nusu fainali ,mechi zingine tatu matokeo yake ni
Tp mazembe 0 - Petro Luanda 0
Yanga Sc 0 - mamelodi sunddowns 0
Esperance0- Asec memosas 0
Na matokeo haya matatu Bado hayajatoa nani hasa ataenda hatua inayofuata ukizingatia drop zilizopatikana ni tasa hivo hata timu mgeni wa mzunguko wa pili ananafasi nzuri ya kusonga mbele.
Kwa matokea haya Simba ajifunze kucheza mechi za mtoano na waache kwenda na matokeo a mfukoni.