Inshaallah na iwe hivyo kama ilivyonenwaKwa takribani miaka 5 ya ubora wa simba wamekuwa wakipambana kufika nusu final au final ya mashindano ya Caf ( Caf champions league and Caf federetion) lakini maskini ya Mungu Milango bado migumu kwao
Ila nawaona yanga wakifanikiwa kuweka rekodi ambayo simba wameshindwa kuweka kwenye mashindano ya club bingwa mwaka huu
Time will tell us
Hata kwenye shirikisho alisema watafika makundi ila cha ajabu wakafika mpaka fainali.Ali Kamwe amesema malengo ya Klabu ni kufika hatua ya makundi.
Haya ya kufika Nusu fainali yanatokea wapi tena??
Kweli kabisa. "Cha ajabu" maana yake haikutegemewaHata kwenye shirikisho alisema watafika makundi ila cha ajabu wakafika mpaka fainali.
Watu wenye malengo ya kufika makundi tu wawe na uwezo wa kufika nusu fainali klabu bingwa kakuambia nanii???
Wenyewe tu hawajiamini ndio maana wanajipa malengo madogo ili wapate visingizio.
Mwisho wa Yanga kufanya vizuri ni kwa Elmerrekh tu,tunza hii comment
Wakati Yanga wanacheza hivyo hizo "timu kubwa" zitakuwa zinawaangalia tu??Ndugu yangu Mimi ni mfatiliaji mzuri wa mpira
Nataka ni kuakikishie kuwa ikiwa yanga watakwenda na mpira wao huu wa kushambulia zaidi sio ugenini wala nyumbani
Kuna timu kubwa watapigwa nje ndani
Wakati Yanga wanacheza hivyo hizo "timu kubwa" zitakuwa zinawaangalia tu??
Yes, Yanga wana ,makusudi sana, mwaka huu unaweza shtukia wanafanya sifa kombe linakuja hapa.Kweli kabisa. "Cha ajabu" maana yake haikutegemewa
Yes, Yanga wana ,makusudi sana, mwaka huu unaweza shtukia wanafanya sifa kombe linakuja hapa.
Mpira wa matamasha ndio aina gani ya mpira?Nusu fainali sahau na kwa mpira huu wa matamasha wanaocheza wakiucheza Champions League amini nakwambia watapasuliwa vibaya pengine hata robo wasiifikie