This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Ukiona Utopolo wanaongoza ligi jua Mnyama mkali hajacheza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia wajitahidi ili wamshushe Biashara nafasi ya 3Ukiona Utopolo wanaongoza ligi jua Mnyama mkali hajacheza.
Jumamosi nakubonda afu next week azam anajipigia unarud kwenye nafasi yakoSawa shekh Yahaya
Huo ni utabiri wako, kabla ya kuwaza ya jumamosi anza kwanza mechi ya leo dhidi ya Kagera sugarJumamosi nakubonda afu next week azam anajipigia unarud kwenye nafasi yako
Utopolo ndio wanaoongoza ligi hata kama kesho Simba itashinda mechi yakeView attachment 1618809
Ukiona wanaongoza ligi ujue simba hajacheza.Huo ni utabiri wako, kabla ya kuwaza ya jumamosi anza kwanza mechi ya leo dhidi ya Kagera sugar
Kwani Yanga anapoint ngapi na kacheza michezo mingapi zaidi ya Simba?Ukiona wanaongoza ligi ujue simba hajacheza.
Kagera anakufa goal3Huo ni utabiri wako, kabla ya kuwaza ya jumamosi anza kwanza mechi ya leo dhidi ya Kagera sugar
Kwani Yanga anapoint ngapi na kacheza michezo mingapi zaidi ya Simba?
Usiulize maswali humu,katafute mwenyewe.Nafasi ya kwanza ni kwa ajili ya simba ndio wajinga wengine wafuate.Kwani Yanga anapoint ngapi na kacheza michezo mingapi zaidi ya Simba?
Sawa kila la kheriKagera anakufa goal3
Ulichokiandika unakielewa wewe mwenyewe.Usiulize maswali humu,katafute mwenyewe.Nafasi ya kwanza ni kwa ajili ya simba ndio wajinga wengine wafuate.
Sawa point 3 kibindon nadhan ushajuaSawa kila la kheri
Mtani naona mmeanza kuiga tabia za Manara. Yaani mko busy kufuatilia habari za Yanga kuliko Yanga wenyewe. Lol.Yanga ni Njombe mji iliyochangamka.
😂😂😂Kwani Yanga anapoint ngapi na kacheza michezo mingapi zaidi ya Simba?
haaaa haaaahakuna timu hapo,ni mkusanyiko wa vijana wanacheza mchezo unaofafana na soka