Yanga watumia GPS vest

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
7,359
Reaction score
5,837
Amkeni amkeni..hatimaye Yanga wameanza kutumia GPS vest na kuwa klabu ya kwanza nchini na ukanda wote wa kusini mwa Jangwa la Sahara kuwahi kuzitumia..

GPS vest moja inagharimu milioni 24...habari mbaya sana kwa mikia maana hawana uhalali tena wa kusema Yanga ni masikini...Mara ya kwanza kuziona hapa Tanzania ni pale Pyramids ya Misri walipokuja kucheza na Yanga kule Mwanza..

Manufaa ya GPS vest inampima mchezaji kama yuko fit kiasi gani katika mikimbio yake..kwaherini wa mchangani hizi ni levels za Etoile du sahel..na Mr Pinto anakuja kuifanya Yanga iwe mbali sana kule mawinguni...

Hongera chapa GSM hakuna janjajanja
 
Nasikia Mikia wanayo moja tu anaitumia Haji ManaraπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Ukweli lazima usemwe sisi yanga tunazidiwa na simba kwa mbali sana. Wenzetu simba wana uwanja wa kisasa wa mazoezi huku sisi yanga tunafanyia mazoezi kwenye vumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…