Habari za jioni
Ukweli mchungu timu tuliikuza sana mwanzoni mwa msimu.
Ila Yanga sio timu serious kwa heka heka hizi za mchezaji wetu tegemezi + viongozi wa Yanga kupenda kutrend kwa kumuoa slay queen katikati ya msimu.
Beckham mwenyewe akiwa kwenye peak yake man utd 1999 alimuoa victoria wakati wa likizo baada ya msimu kuisha.
Kweli ndio tulitegemea Yanga hii ikashindane na kina Al ahly, Esperence, Orlando pirates, Mamelodi etc huko mbeleni
Asante sana Ibenge na Mc alger wanyonge wenzetu kwa kututoa mapema.
Maana battle za watu wazima wa Africa tungetia aibu huko robo na nusu fainali.
Kama Mamelodi mwenyewe yupo serious huwa haziwezi sisi tungekuwa kituko kabisa