Yanga wenzangu, timu hii inayoendeshwa na drama za Hersi, Aziz Ki na Ali Kamwe ndio tuliamini tunaenda kubeba klabu bingwa Africa? Nimechoka sana

Habari za jioni

Ukweli mchungu timu tuliikuza sana mwanzoni mwa msimu.

Ila Yanga sio timu serious kwa heka heka hizi za mchezaji wetu tegemezi + viongozi wa Yanga kupenda kutrend kwa kumuoa slay queen katikati ya msimu.

Beckham mwenyewe akiwa kwenye peak yake man utd 1999 alimuoa victoria wakati wa likizo baada ya msimu kuisha.

Kweli ndio tulitegemea Yanga hii ikashindane na kina Al ahly, Esperence, Orlando pirates, Mamelodi etc huko mbeleni

Asante sana Ibenge na Mc alger wanyonge wenzetu kwa kututoa mapema.

Maana battle za watu wazima wa Africa tungetia aibu huko rovi na nusu fainali.

Kama Mamelodi mwenyewe yupo serious huwa haziwezi sisi tungekuwa kituko kabisa
Kwaiyo ulitaka akuoe wewe ndio uchukue nafasi ya mobeto? Maisha binafsi ya watu yanawahusu nini? Mbona mnakuwa na akili za kimaskini sana,,wakati wewe unaoa au kuolewa Kuna mtu alikufata kukupangia uoe lini? Kinachokuuma ni kitu Gani labda kwamba mlikuwa mnashea na mobeto kakuzidi kete kaolewa yeye? Hizi akili ni 🚮🚮🚮🚮
 
Mama wa Azizi Ki ameumia sana mwanae Kumuoa Hamisa bila kushirikishwa.

Amesema " hapendi mtu mjanja" yani Hersy
Nguvu yote hiyo inatumiaka kumbakisha mtoto wakae Tanzania

Anasisitiza anasema Engineer si sehemu ya Famia yake hakutakiwa kabisa kufanya Vile.

Inasikitisha sana
Machoni kama watu Mioyoni hawana utu
Sasa Mama anahusika nini kwenye suala la ndoa?
 
Subiri muda wa ubunge ufike ndio mtajua hamjui. Magoma hoyeee!!!!!
 
Habari za jioni

Ukweli mchungu timu tuliikuza sana mwanzoni mwa msimu.

Ila Yanga sio timu serious kwa heka heka hizi za mchezaji wetu tegemezi + viongozi wa Yanga kupenda kutrend kwa kumuoa slay queen katikati ya msimu.

Beckham mwenyewe akiwa kwenye peak yake man utd 1999 alimuoa victoria wakati wa likizo baada ya msimu kuisha.

Kweli ndio tulitegemea Yanga hii ikashindane na kina Al ahly, Esperence, Orlando pirates, Mamelodi etc huko mbeleni

Asante sana Ibenge na Mc alger wanyonge wenzetu kwa kututoa mapema.

Maana battle za watu wazima wa Africa tungetia aibu huko robo na nusu fainali.

Kama Mamelodi mwenyewe yupo serious huwa haziwezi sisi tungekuwa kituko kabisa
Hata Simba hajafika mahali
 
Mama wa Azizi Ki ameumia sana mwanae Kumuoa Hamisa bila kushirikishwa.

Amesema " hapendi mtu mjanja" yani Hersy
Nguvu yote hiyo inatumiaka kumbakisha mtoto wakae Tanzania

Anasisitiza anasema Engineer si sehemu ya Famia yake hakutakiwa kabisa kufanya Vile.

Inasikitisha sana
Machoni kama watu Mioyoni hawana utu
Huyo Mama naye atulie. Aziz Ki ni mtu mzima, ana maamuzi yake.
 
Kwa hili nyie utopolo hebu mwacheni kijana mnataka apige punyeto?.
 
Kwanini Binadamu mna chuki na maisha ya wengine!!! Kuoa si jambo la kheri kwanini upate maumivu kwa jambo la kheri la maisha ya wengine?

Aziz K na Hamisa ni watu wazima na wameamua kufunga ndoa inatakiwa kuwa unga mkono na si kuchukia bila sababu.
Unajua mpaka kuna muda nashangaa wallah watu wanaumia nn sasa
 
Back
Top Bottom