Kwaiyo ulitaka akuoe wewe ndio uchukue nafasi ya mobeto? Maisha binafsi ya watu yanawahusu nini? Mbona mnakuwa na akili za kimaskini sana,,wakati wewe unaoa au kuolewa Kuna mtu alikufata kukupangia uoe lini? Kinachokuuma ni kitu Gani labda kwamba mlikuwa mnashea na mobeto kakuzidi kete kaolewa yeye? Hizi akili ni 🚮🚮🚮🚮Habari za jioni
Ukweli mchungu timu tuliikuza sana mwanzoni mwa msimu.
Ila Yanga sio timu serious kwa heka heka hizi za mchezaji wetu tegemezi + viongozi wa Yanga kupenda kutrend kwa kumuoa slay queen katikati ya msimu.
Beckham mwenyewe akiwa kwenye peak yake man utd 1999 alimuoa victoria wakati wa likizo baada ya msimu kuisha.
Kweli ndio tulitegemea Yanga hii ikashindane na kina Al ahly, Esperence, Orlando pirates, Mamelodi etc huko mbeleni
Asante sana Ibenge na Mc alger wanyonge wenzetu kwa kututoa mapema.
Maana battle za watu wazima wa Africa tungetia aibu huko rovi na nusu fainali.
Kama Mamelodi mwenyewe yupo serious huwa haziwezi sisi tungekuwa kituko kabisa
Hata kama ila sio Kwa kulipa mahari 30 milioni Kwa double single mother AISEE.Kwa hiyo kisa ushabiki wako watu waache kufung ndoa?
Hata kama ila sio Kwa kulipa mahari 30 milioni Kwa double single mother AISEE.
Nimelia sn jana
Nipe number za mzazi wako wa kike,,atakusimulia jinsia ynguWe ni K
Nipe number za mzazi wako wa kike,,atakusimulia jinsia yngu
Je wewo unawafikio kwa kiaso ganoPambana na hali yako.
Hao wote uliowataja huwafikii hata theluthi ya maisha yao
Sasa Mama anahusika nini kwenye suala la ndoa?Mama wa Azizi Ki ameumia sana mwanae Kumuoa Hamisa bila kushirikishwa.
Amesema " hapendi mtu mjanja" yani Hersy
Nguvu yote hiyo inatumiaka kumbakisha mtoto wakae Tanzania
Anasisitiza anasema Engineer si sehemu ya Famia yake hakutakiwa kabisa kufanya Vile.
Inasikitisha sana
Machoni kama watu Mioyoni hawana utu
Umelia kwamba iyo mahali ungelipiwa wewe au?Hata kama ila sio Kwa kulipa mahari 30 milioni Kwa double single mother AISEE.
Nimelia sn jana
Hata Simba hajafika mahaliHabari za jioni
Ukweli mchungu timu tuliikuza sana mwanzoni mwa msimu.
Ila Yanga sio timu serious kwa heka heka hizi za mchezaji wetu tegemezi + viongozi wa Yanga kupenda kutrend kwa kumuoa slay queen katikati ya msimu.
Beckham mwenyewe akiwa kwenye peak yake man utd 1999 alimuoa victoria wakati wa likizo baada ya msimu kuisha.
Kweli ndio tulitegemea Yanga hii ikashindane na kina Al ahly, Esperence, Orlando pirates, Mamelodi etc huko mbeleni
Asante sana Ibenge na Mc alger wanyonge wenzetu kwa kututoa mapema.
Maana battle za watu wazima wa Africa tungetia aibu huko robo na nusu fainali.
Kama Mamelodi mwenyewe yupo serious huwa haziwezi sisi tungekuwa kituko kabisa
Huyo Mama naye atulie. Aziz Ki ni mtu mzima, ana maamuzi yake.Mama wa Azizi Ki ameumia sana mwanae Kumuoa Hamisa bila kushirikishwa.
Amesema " hapendi mtu mjanja" yani Hersy
Nguvu yote hiyo inatumiaka kumbakisha mtoto wakae Tanzania
Anasisitiza anasema Engineer si sehemu ya Famia yake hakutakiwa kabisa kufanya Vile.
Inasikitisha sana
Machoni kama watu Mioyoni hawana utu
Huyo Mama naye atulie. Aziz Ki ni mtu mzima, ana maamuzi yake.
Sasa Mama anahusika nini kwenye suala la ndoa?
Ha ha haaa ....Mtakuwa mtaelewa
Nieleze wewe uliekuaUtakuwa utaelewa mkuu
Unajua mpaka kuna muda nashangaa wallah watu wanaumia nn sasaKwanini Binadamu mna chuki na maisha ya wengine!!! Kuoa si jambo la kheri kwanini upate maumivu kwa jambo la kheri la maisha ya wengine?
Aziz K na Hamisa ni watu wazima na wameamua kufunga ndoa inatakiwa kuwa unga mkono na si kuchukia bila sababu.