Sainya Jnr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 467
- 1,112
- Thread starter
-
- #21
Ukiachana na KI naomba nitajie mwingine ambaye tumemnunua.Una akili wewe unatuletea taarifa za uongo humu hivi hata ufaham wako wa kawaida haukusaidii an kwenye usajili zitumike mill 317 pamoja na ujio wa wachezaj wote wakubwa wale kina Aziz ki,vitu vingne kabla ya kupost em tafakari kwanz mwnyew kwa ufaham wa kawaidaa2
Mbn una makasiriko mkuu?Wewe poyoyo usilinganishe katiba ya yanga na takataka zenu mlizonazo uko, katiba ya yanga iko very tight kwenye suala zima la uwekezaji, ni moja ya katiba bora ambayo imezingatia kwa kina misingi ya klabu, akuna mwekezaji atakuja kuleta mambo ya uswahili na kuinajisi yanga Kama anavyofanya Mo uko kwenu anafanya anachotaka, Unaposema matumizi ya usajili ni m.317 nafikiri kichwa chako kuna fyuzi imechomoka sio bure, Aziz ki peke yake kalamba 460, vipi bigirimana? Vipi lomarisa? Vipi kambole? Wamesajiliwa bure? Kabla ujapost uharo uwe unafanya utafiti kwanza kujua propaganda yako kama angalau itaclick kwenye vichwa vya watu, shida yenu umbumbumbu wenu mnauweka Sana wazi sijaelewa Kama ni laana ya mwenyekiti wenu rage au vipi
Mirembe hospital hawajaiona hii thread? Nasikia wanawasaka wenye matatizo ya afya ya akili mitaani!!Senzo huwa hapendi Kuishi sehemu yenye uhuni uhuni mwingi.
Hiyo imekuwa kawaida kwa upande wake.
Kwa sasa kinachoendelea ndani ya klabu yetu YANGA SC ni uhuni uhuni mwingi.
Kila mtu Anapiga pesa kwa njia yake. Taarifa za siri sana kutoka kwa wadau weye sauti za juu kwenye klabu hiyo zinadai kwenye usajili zimetumika Milioni 317 kwa wachezaji wote lakini kwenye matumizi ya Klabu imeandikwa Bilioni 1.4
Pia kuna wafanyakazi ambao wapo ndani ya Yanga SC wataondolewa na wataletwa wafanyakazi wengine.
Na inasemekana kuwa hao wafanyakazi wapya wanaoingia wanatoka upande wa GSM.
Yanga kwa sasa inaenda kuendeshwa kwa matakwa ya GSM na Siyo matakwa ya klabu au wanachama.
Ipo siku ukweli utafahamika hadharani.
Tusubiri tuone.
waambie waliokutuma hii habari tumeikataaSenzo huwa hapendi Kuishi sehemu yenye uhuni uhuni mwingi.
Hiyo imekuwa kawaida kwa upande wake.
Kwa sasa kinachoendelea ndani ya klabu yetu YANGA SC ni uhuni uhuni mwingi.
Kila mtu Anapiga pesa kwa njia yake. Taarifa za siri sana kutoka kwa wadau weye sauti za juu kwenye klabu hiyo zinadai kwenye usajili zimetumika Milioni 317 kwa wachezaji wote lakini kwenye matumizi ya Klabu imeandikwa Bilioni 1.4
Pia kuna wafanyakazi ambao wapo ndani ya Yanga SC wataondolewa na wataletwa wafanyakazi wengine.
Na inasemekana kuwa hao wafanyakazi wapya wanaoingia wanatoka upande wa GSM.
Yanga kwa sasa inaenda kuendeshwa kwa matakwa ya GSM na Siyo matakwa ya klabu au wanachama.
Ipo siku ukweli utafahamika hadharani.
Tusubiri tuone.
Tulia bro tuliaSenzo huwa hapendi Kuishi sehemu yenye uhuni uhuni mwingi.