Wewe poyoyo usilinganishe katiba ya yanga na takataka zenu mlizonazo uko, katiba ya yanga iko very tight kwenye suala zima la uwekezaji, ni moja ya katiba bora ambayo imezingatia kwa kina misingi ya klabu, akuna mwekezaji atakuja kuleta mambo ya uswahili na kuinajisi yanga Kama anavyofanya Mo uko kwenu anafanya anachotaka, Unaposema matumizi ya usajili ni m.317 nafikiri kichwa chako kuna fyuzi imechomoka sio bure, Aziz ki peke yake kalamba 460, vipi bigirimana? Vipi lomarisa? Vipi kambole? Wamesajiliwa bure? Kabla ujapost uharo uwe unafanya utafiti kwanza kujua propaganda yako kama angalau itaclick kwenye vichwa vya watu, shida yenu umbumbumbu wenu mnauweka Sana wazi sijaelewa Kama ni laana ya mwenyekiti wenu rage au vipi