Yanga ya Gamondi inavyomtesa Robertinho Simba

Yanga ya Gamondi inateseka na Ihefu ya Katwila; Simba ni level nyingine.
 
Simba watachukua ubingwa mwaka huu..
Simba wanakocha mzuri, hivyo wasiwe na wasiwasi.

Yanga kocha wao mzuri ila mwepesi kulizika.
Tabia ya kulizika akiiacha atafanya vizuri zaidi, lakini akiendelea na tabia hii hataenda mbali, atakwama.
Kulizika kivipi mkuu hebu fafanua

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hata Mimi sijamuelewa ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana GAMONDI alikasirika sana siku wale waDjibuti walipopata goli Moja la penalty Sasa kuridhika gani anazungumzia

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa kwenye mambo ya mpira ni takataka inayoishi hujui chochote kuhusu mpira

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Usiseme kama Injinia sema kama Gsm
 
".....timu tati pekee zilizoshinda mechi zao kwa asilimia 100, sambamba na azamu na yanga...."

niliishia hapa nikaona siwezi kuendelea kupoteza glucose kusoma upuuzi.
 
Timu haiongozi ligi pamoja na kufungwa magoli machache.

Hahahaaaaa Yanga Ina wajinga wengi Sana. Kazi kupanua midomo tu!
 
Timu haiongozi ligi pamoja na kufungwa magoli machache.

Hahahaaaaa Yanga Ina wajinga wengi Sana. Kazi kupanua midomo tu!
Jifunze mpira kwanza. Hakuna ligi inatoa bingwa kwa mechi tano bali kwa mechi zote kutamatika au kuwe na gap isiyoweza kufikiwa.hivyo kuna mechi 25 je unaweza kunitabiria matokeo ya mechi 25 kwa timu zote?

Kuna timu huwa zinaongoza ligi katika mizunguko 10 ya mwanzo lakini kombe hawachukui. Ligi bado sana ndio kwanza imeanza. Jifunze kuwa mtu wa mpira badala ya kuwa shabiki wa timu usiyejua mpira.

Magoli utayaona umuhimu wake, timu zikilingana point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…