Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana.
Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni.
Tatizo ni pale inapocheza kimataifa hasa msimu huu wa mashindano.
Kulikoni Yanga?