Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Huna akiliView attachment 3184870
Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana. Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni. Tatizo nipale inapocheza kimataifa hasa msimu huu wa mashindano. Kulikoni yanga
DahHuna akili
Huu uzi umeandika kama mtu asiyejua mpira.View attachment 3184870
Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana. Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni. Tatizo nipale inapocheza kimataifa hasa msimu huu wa mashindano. Kulikoni yanga
Usihofu matatizo yaliyoikabili yametatuliwa injinia ameliona Hilo na aendelee kushirikiana na wenzake bila ubaguzi,yanga itafanikiwa sana.View attachment 3184870
Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana. Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni.
Tatizo ni pale inapocheza kimataifa hasa msimu huu wa mashindano.
Kulikoni yanga?
Hakuna mjadala hapa. Ni vyema tu ukatuacha wananchi tusherehekee zetu sikukuu ya Christmas kwa utulivu. Full time: Dodoma Jiji 0 - Young Africans 4.Mjadala
Michongo hiyo.View attachment 3184870
Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana.
Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni.
Tatizo ni pale inapocheza kimataifa hasa msimu huu wa mashindano.
Kulikoni Yanga?
Aziz Ki sijui kawajeKilichobadilika ni Upambanaji umeongezekaa na wachezaji wameamua kumove on baada ya Gamondi.Ila Kii anapoteza pass sana ingawa sio mbayaaa kasii inamzidiaa,Dube Badoo magoal yake yotee ni Yale ambayo hata angekuepo mwijaku eneo husika anafungwa.Mzizee ndio Killer sasahivi apewe Heshima yake[emoji146][emoji146][emoji123]
Yanga ndiye Mfalme wa Ligi kuu Tanzania (Mataji 30) na ndiye Mfalme wa soka EA