Yanga ya tarehe 3-7-2021 ni moja Kati ya Yanga bora zaidi katika historia nzima nzima ya Yanga

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
Timu nzima walikua very humble,
Focused
Attention
Walipambana kwa namna zoote
Naamni wakibaki hivii mikia watalaumiana kila derby!!
Let's wait tar 25!!
#daima mbele...............
#sportsalelt
#magemajr
 
Utopolo bhana ushasahau msimu uliopita baada ya kushinda 1-0 mkaja kubugizwa 4-1. Utopolo ni underdog kwa simba, hiyo bahati mlioipata usifikiri kila derby itatokea, jifunzen msimu uliopita.
 
Utopolo bhana ushasahau msimu uliopita baada ya kushinda 1-0 mkaja kubugizwa 4-1. Utopolo ni underdog kwa simba, hiyo bahati mlioipata usifikiri kila derby itatokea, jifunzen msimu uliopita.
Bwege wewe huna kikosi cha kumfunga yanga 4 kwa hawa akina Kagere waliozeeka.. Yanga ni Mwanamume.. Ety 4 thubutu.. Mnapigwa nje ndani mwaka huu na FA hamchukui
 
Utopolo bhana ushasahau msimu uliopita baada ya kushinda 1-0 mkaja kubugizwa 4-1. Utopolo ni underdog kwa simba, hiyo bahati mlioipata usifikiri kila derby itatokea, jifunzen msimu uliopita.
Ile mechi Simba inasemekana waliwahonga baadhi ya wachezaji wa Yanga hata akina Morrison cheza yao ilionyesha wazi.

Hii tabia ya kuhonga Simba wanayo sana kwani nakumbuka mwaka 1976 Simba walimuhonga aliyekuwa kipa wa Yanga wakati huo Bernard Madale na kupelekea Yanga kufungwa 6-0 na Simba katika mechi ya klabu bingwa Tanzania.
 
Ile kulala lala kisa unagoli moja ndo unaita ushirikiano na kuwa focused? kifupi kipindi cha pili yanga walikuwa wanalinda droo na hata sio ushindi sema bahati tu ilikuwa upande wao simba hakufanikiwa kupata goli, Timu inayojiamini hawezi kuhangaika kupoteza muda kwa ajili ya goli moja labda kuanzia tatu hiv ndo unaweza kupoteza muda
 
Hv mmemuelewa huyu?
 
Kwa timu gani ile isiwezekane kufungwa nne eti mpaka ihongwe? Hata yanga ya sasa kufungwa nne inawezekana tu ni mambo ya mpira hayo. Eti Morrison hakucheza vizuri , kwani juzi Nyoni kacheza vizuri? Je tuseme mmeshinda kwa kuhonga baadhi ya wachezaji wa simba?
 
Meza wembe sasa unalia lia nini?
 
Utopolo bhana ushasahau msimu uliopita baada ya kushinda 1-0 mkaja kubugizwa 4-1. Utopolo ni underdog kwa simba, hiyo bahati mlioipata usifikiri kila derby itatokea, jifunzen msimu uliopita.
Ile ilikuwa match ya biashara mkuu, kuna wachezaji mamluki wa Yanga walichukua pesa yao mapema
 
Hiyo droo ya kabati uliipata?
 
Ndio kawaida yetu kuonga, tuachie timu yetu tajiri MO andelee kutupa furaha.
 
Utopolo bhana ushasahau msimu uliopita baada ya kushinda 1-0 mkaja kubugizwa 4-1. Utopolo ni underdog kwa simba, hiyo bahati mlioipata usifikiri kila derby itatokea, jifunzen msimu uliopita.
Hiyo 4g yenu ya kuhonga wachezaji wa yanga ndo unasemea

Nyie bila makando kando hamuiwezi yanga
 
Majuzi hapa kwa Azam si nyie nyie mmesema mpira ni mbinu, leo kwa Yanga mnaongea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…