Huo ndio uthibistisho?Mpaka mhonge waamuzi na wachezaji wa yanga ndo mshinde. Au unadhani Bashe kasema uhongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio uthibistisho?Mpaka mhonge waamuzi na wachezaji wa yanga ndo mshinde. Au unadhani Bashe kasema uhongo
kulala lala goli moja nayo ni mbinu? maana goli moja muda wowote unaotewa tuMajuzi hapa kwa Azam si nyie nyie mmesema mpira ni mbinu, leo kwa Yanga mnaongea nini