M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,358 Reaction score 5,783 Jul 7, 2021 #21 mito said: Mpaka mhonge waamuzi na wachezaji wa yanga ndo mshinde. Au unadhani Bashe kasema uhongo Click to expand... Huo ndio uthibistisho?
mito said: Mpaka mhonge waamuzi na wachezaji wa yanga ndo mshinde. Au unadhani Bashe kasema uhongo Click to expand... Huo ndio uthibistisho?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 7, 2021 #22 Wanajitahidi...
uungwana classic JF-Expert Member Joined Jun 9, 2014 Posts 2,324 Reaction score 2,085 Jul 8, 2021 #23 mito said: Majuzi hapa kwa Azam si nyie nyie mmesema mpira ni mbinu, leo kwa Yanga mnaongea nini Click to expand... kulala lala goli moja nayo ni mbinu? maana goli moja muda wowote unaotewa tu
mito said: Majuzi hapa kwa Azam si nyie nyie mmesema mpira ni mbinu, leo kwa Yanga mnaongea nini Click to expand... kulala lala goli moja nayo ni mbinu? maana goli moja muda wowote unaotewa tu