Yanga ya usukumani ?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Hivi eti kuna siri gani ya wasukuma wengi kuwa mashabiki wa Yanga ?
 
Sio kweli Simba na Yanga usukumani wapo 50/50,mikoa ya kusini ndo inaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi wa Yanga.Lindi,Mtwara,Ruvuma huko kote wametapakaa Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…