Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Taarifa rasmi ya Yanga Sc kuachana na magolikipa wake wawili, Metacha Mnata na Farouk Shikhalo. Anayetoa taarifa hii ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa.
Je, nini maoni yako kuhusu uamuzi huu?
Source: Azam Tv