Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Huyo Metacha sitaki hata kumsikia...sare ya 1-1 mechi ya ligi na Simba goli la Onyango huyo Metacha anajua alichofanya...kipigo Cha 4-1 mbele ya Simba Metacha anajua pamoja Jafari na Juma Abdul....sare ya 3-3 na Kagera kipa alikuwa Nani? Sare ya 1-1 na polisi kipa alikuwa Nani?Taarifa rasmi ya Yanga Sc kuachana na magolikipa wake wawili, Metacha Mnata na Farouk Shikhalo. Anayetoa taarifa hii ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa.
Je, nini maoni yako kuhusu uamuzi huu?
Source: Azam Tv
Sio kwa jamii, sema kwa "wananchi" wengine hatuhusiki kabisa pale.Ila chikalo ni mtu mmoja muungwana sana, huyo metacha mwache aendee japo ni golikipa mzuri ndiyo ajue madhara ya kila unachokifanya kwa jamiii
Safi waiza mechi wakwende zaoTaarifa rasmi ya Yanga Sc kuachana na magolikipa wake wawili, Metacha Mnata na Farouk Shikhalo. Anayetoa taarifa hii ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa.
Je, nini maoni yako kuhusu uamuzi huu?
Source: Azam Tv
Acheni lawama za kipuuzi, kwani wakati Simba anakufa goli 1 la Morrison kipa Alikuwa Nani?Huyo Metacha sitaki hata kumsikia...sare ya 1-1 mechi ya ligi na Simba goli la Onyango huyo Metacha anajua alichofanya...kipigo Cha 4-1 mbele ya Simba Metacha anajua pamoja Jafari na Juma Abdul....sare ya 3-3 na Kagera kipa alikuwa Nani? Sare ya 1-1 na polisi kipa alikuwa Nani?
Wewe hujui Mambo ya ndani ya soka ya TZ na kuhusu Simba na Yanga...baki hivyo hivyo...Metacha Anna umri mdogo na angeweza kuwa mzuri but this is the end of the road...Acheni lawama za kipuuzi, kwani wakati Simba anakufa goli 1 la Morrison kipa Alikuwa Nani?
Wakati Simba inatoka draw ya 2-2 kipa Alikuwa Nani?
Wakati Simba inatoka draw 1-1 na Yanga kipa Alikuwa Nani?
Na wakati Simba inaifunga Yanga kigoma kipa Alikuwa Nani?
Mwacheni dogo aende Kutafuta ridhki sehemu ingine Kwa Amani
visingizio fc kwenye ubora wakeHuyo Metacha sitaki hata kumsikia...sare ya 1-1 mechi ya ligi na Simba goli la Onyango huyo Metacha anajua alichofanya...kipigo Cha 4-1 mbele ya Simba Metacha anajua pamoja Jafari na Juma Abdul....sare ya 3-3 na Kagera kipa alikuwa Nani? Sare ya 1-1 na polisi kipa alikuwa Nani?
Mkuu hicho kitendo kinanikera mpaka basi.Kwa Yanga sishangai ni kawaida yao kusajili timu mpya kila mwaka.
Wacha vijilaana uchwara vyako. Wewe ni sehemu ya ujinga.Wewe hujui Mambo ya ndani ya soka ya TZ na kuhusu Simba na Yanga...baki hivyo hivyo...Metacha Anna umri mdogo na angeweza kuwa mzuri but this is the end of the road...