Yanga yaachana na Magoli kipa wake Metacha pamoja na Shikalo

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]pole kaka!!!!
 
Wewe hujui Mambo ya ndani ya soka ya TZ na kuhusu Simba na Yanga...baki hivyo hivyo...Metacha Anna umri mdogo na angeweza kuwa mzuri but this is the end of the road...
Hakuna kitu, mkiendelea na hizo Mambo zenu mtabadili Sana makipa na hakuna mtakachovuna, Kwanza ata angebaki tungeshangaa mmeanza lini kudumu na kipa zaidi ya misimu miwili hapo penyewe metacha kajitahidi Sana kumaliza miaka 2 akiwa Yanga
 
Sasa Farouk ana shida gani? halafu nmeona mahala wanataka kumtoa Mukoko na Sogne jamani hii timu nahama wakitoa hawa watu
 
Yaani sometime mambo yanayofanywa na hawa viongozi wangu ni usenge kwa kweli
Shikalo alikuwa ni kipa mzuri tu mechi za mwisho alijitoa sana.
Nakumbuka ile mechi na simba alivyojigonga kwenye mwamba dah leo kaachachwa kisenge ..
Hivi ni msolla anapanga haya?
 
Kwamba kipa wa Yanga kivyo vyote vile hasifungwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…